Suti zinazo paswa kuvaliwa na mtangazaji wa t.v

Mkuu mimi naonaga wanavaa nyeusi na za grey
 
Habari zenu wadau?
Naomba kujua rangi rasmi za suti ambazo zinatumika na watangazaji wa tv..Je? Leo mtangazaji wa itv kavaa suti ya pinki ni sahii??
Mara nyingi nimeona wavaaji wa suti za pink wakihusihwa kuwa ni pimps (makuwadi).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…