SUVFord ranger au Volkswagen amarok
Audi Q5, kama ni mtu wa speed, hapo umefika haswaaaBaada ya kupambana na toyota/mjapani kwa muda mrefu (tunajua anasaidia kujenga barabara zetu lakini yeye pia anapata $$ $ za kutosha kutoka ununuzi wa magari yake)...
Wakuu hivi Bongo kuna mtu au watu ambao wameshanunua Audi Q8 au SQ8 au hata RSQ8 au Lamborgini Urusi?? Nataka nikaziangalie tu zinaonekanaje??Audi Q5
BMW X3
Kama ni muumini wa Toyota anza na Vanguard 2010, Harrier 2010, na Rav 4 2010. Unaweza ku opt Ford Escape 2012, VW Tiguan, BMW X5Baada ya kupambana na toyota/mjapani kwa muda mrefu (tunajua anasaidia kujenga barabara zetu lakini yeye pia anapata $$ $ za kutosha kutoka ununuzi wa magari yake)...
Hivi mnaposema speed hapa bongo huwa mnamaanisha atakuwa anatembea juu ama?Audi Q5, kama ni mtu wa speed, hapo umefika haswaaa
Kwa mimi naona Volvo XC60 na XC90 ni nzuri sana kwa ulaji mdogo wa mafuta
Ila pia ukitaka smoothest drive ni Hyundai Santa Fe au Range Rover kwa safari ndefu raha tupu
Ila ongeza dau
nimescreenshot hii msg nataka niangalie hiyo volvo ina features gani nitafutie hela this year...si haili sana wese ?
Maswali ya kichoko kabisa haya!!Hivi mnaposema speed hapa bongo huwa mnamaanisha atakuwa anatembea juu ama?
Maana gari hata kama ina speed, utaenda speed kwa barabara zipi?
Mkuu ni gari nzuri sana na imara kwenye suala la safety
Mafuta ni kidogo sana
Sijui kwakweli.Wakuu hivi Bongo kuna mtu au watu ambao wameshanunua Audi Q8 au SQ8 au hata RSQ8 au Lamborgini Urusi?? Nataka nikaziangalie tu zinaonekanaje??
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Unavyosema barabara za kiafrika ni zipi?This is the best SUV hasa kwa barabara zetu za kiafrica
Kama hizi za kwetu huku mchangani. Land Cruiser is the ultimate SUV for all terrains and all weather.Unavyosema barabara za kiafrika ni zipi?