wakuu habari zenu??
Wakuu kuna mtu ninayefanya naye kazi alikuwa anataka kununua suv yeyote nzuri ila kwa bei rahisi sasa alikuja kuniuliza nimshauri anunue nini ila nikasema ngoja niilete kwa wana forum kwa sababu nina amini hapa atapata ufumbuzi
so wakuu swali langu ni suv gani ni nzuri na atapata kwa bei rahisi??