SUV vs Double Cabin

Ila bongo bana kodi zinatufanya kushindwa kumiliki haya magari, yaani fortuner kuaniza 2018, kodi tu sio chini ya 30- 40m hapo bado bei ambayo inaanzia 70m....yaani kuimilika ni kuanzia 100m huko....hiyo ni used.

Ukitafakari unaishia kwa kina forrester, extrail model mpya, harrier mpya ambazo hazizidi ni kati ya 40m mpaka 60m.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…