jamani..kama kuna vyuo vinavyoendeshwa kwa usumbufu basi..hiki chuo cha taifa Zanzibar kinaongoza..tangu watangaze majina waliochaguliwa kujiunga na chuo hiki..basi imekua tabu sana..kuipata hyo adm letter...mpaka upange foleni..na kunauwezekano mkubwa kiokosa...hao wahusika wanajiona kama wao ndio maprofessa wa chuo....yani wanajifanya wapo bze mmnoo..ndugu..mjipange kuja suza...noma sana