SUZA, Kwa usumbufu huu

mafia boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
268
Reaction score
82
jamani..kama kuna vyuo vinavyoendeshwa kwa usumbufu basi..hiki chuo cha taifa Zanzibar kinaongoza..tangu watangaze majina waliochaguliwa kujiunga na chuo hiki..basi imekua tabu sana..kuipata hyo adm letter...mpaka upange foleni..na kunauwezekano mkubwa kiokosa...hao wahusika wanajiona kama wao ndio maprofessa wa chuo....yani wanajifanya wapo bze mmnoo..ndugu..mjipange kuja suza...noma sana
 
usipime...kitu cha kufanywa mara moja tuu..mpaka mpange foleni
 
Wazanzibari ni lege-lege! Muulize Kessy anawajua vizuri.
 

Mkuu poleni sana Watanganyikaaa...
Kama ilikuwa hamujui SUZA ni chuo kwa ajili ya Wazanzibar ndio maaana tukajitoa kwenye CAS ya TCU maaana hawatakiwi Watnganyika, hivyo Kama kawaida Wazanzibar Ulegelege, uvivu wetu wenyewee......
Nendeni huko kwenye vyuo vyenu vya wachapakazi
 
Wazanzibari ni lege-lege! Muulize Kessy anawajua vizuri.

Eti aulizwe Kessy...???
Kessy yupiii....?? ndio yule alosema NDIOOOOOO.....
bado unauamini UNAFIKI wake....??
 
eti suza chuo cha wanzanzibarii..mmejitoa tcu coz mnajijua kama viraza....so wanzanzibar wengi kupitia tcu..msingepata degree..mtu anavyeti vya form four vinne..kila mwaka c moja..utapataje degree?mtu ana c ya arabic..swahl..then anataka degree...then kessy kawambieni ukweli..
 
Eti aulizwe Kessy...???
Kessy yupiii....?? ndio yule alosema NDIOOOOOO.....
bado unauamini UNAFIKI wake....??

basing on alichosema kuhusu zanzibar! sijui kura alopiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…