Ina maana wabunge wote wana mkimbia ahmada?
Naona Kazi za Lijualikali ....kushawishi na kufanya propaganda kuwa kakubali .....ahaa haaaWakuu hii tetesi ni ya moto moto kabisa. Mchana huu nimepata fununu kutoka kwa mtu wa karibu wa Mbunge wa Jimbo la Mlimba,wilayani Kilombero, Mkoani Morogoro, Suzan Kiwanga. Tetesi ni kwamba Mama huyo machachari amekata tamaa na hana pa kushika.
Chadema Wilayani Kilombero imeparaganyika na hivyo hana sapoti kabisa. Zaidi ya yote ameishiwa hoja kwa kuwa sehemu kubwa ya yale alokuwa akilalamikia serikali sikivu ya CCM chini ya uongozi shupavu wa Rais Magufuli umeyafanyia kazi.
Mama Kiwanga yu njiani kujiunga na CCM.
Tetesi hizi ni kwa mujibu wa mtu wa karibu sana wa mbunge huyo.
Chombo kinazama wewe unajifariji tu. Jipange. Wenzako wenye akili wameshashituka wameruka na sasa wapo nchi kavu huku wakishudia mnavyo tapatapa...Acha tu waende Chadema ina wanachama wengi wenye uwezo
Atagombea mwingine kwenye hilo jimbo na atashinda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ina maana wabunge wote wana mkimbia ahmada?
Ahmada amelewaaaaWanakimbilia kule kwa mtaalamu wa kiingereza a.k.a Ras Simba?
Chama bado kipo imara acha makapi yaondokeChombo kinazama wewe unajifariji tu. Jipange. Wenzako wenye akili wameshashituka wameruka na sasa wapo nchi kavu huku wakishudia mnavyo tapatapa...
πππππ wamemchoka DJ hana nyimbo mpyaIna maana wabunge wote wana mkimbia ahmada?
Wakuu hii tetesi ni ya moto moto kabisa. Mchana huu nimepata fununu kutoka kwa mtu wa karibu wa Mbunge wa Jimbo la Mlimba,wilayani Kilombero, Mkoani Morogoro, Suzan Kiwanga. Tetesi ni kwamba Mama huyo machachari amekata tamaa na hana pa kushika.
CHADEMA Wilayani Kilombero imeparaganyika na hivyo hana sapoti kabisa. Zaidi ya yote ameishiwa hoja kwa kuwa sehemu kubwa ya yale alokuwa akilalamikia serikali sikivu ya CCM chini ya uongozi shupavu wa Rais Magufuli umeyafanyia kazi.
Mama Kiwanga yu njiani kujiunga na CCM.
Tetesi hizi ni kwa mujibu wa mtu wa karibu sana wa mbunge huyo.
[/QUOTE
Na yeye amechoka kunyanyaswa kingono au??????!!!!
Ujinga mzigo!!Wakuu hii tetesi ni ya moto moto kabisa. Mchana huu nimepata fununu kutoka kwa mtu wa karibu wa Mbunge wa Jimbo la Mlimba,wilayani Kilombero, Mkoani Morogoro, Suzan Kiwanga. Tetesi ni kwamba Mama huyo machachari amekata tamaa na hana pa kushika.
CHADEMA Wilayani Kilombero imeparaganyika na hivyo hana sapoti kabisa. Zaidi ya yote ameishiwa hoja kwa kuwa sehemu kubwa ya yale alokuwa akilalamikia serikali sikivu ya CCM chini ya uongozi shupavu wa Rais Magufuli umeyafanyia kazi.
Mama Kiwanga yu njiani kujiunga na CCM.
Tetesi hizi ni kwa mujibu wa mtu wa karibu sana wa mbunge huyo.