Tetesi: Suzan Kiwanga apiga hodi CCM

Chombo kinazama wewe unajifariji tu. Jipange. Wenzako wenye akili wameshashituka wameruka na sasa wapo nchi kavu huku wakishudia mnavyo tapatapa...
Wenye akil au wenye tamaa na mapunga maana mwanaume wa kweli huwezi muona anakimbia chadema kwa hoja za lijualikali.
 
Povu ruksa. Michadema ndivyo mlivyo. Mna macho lakini hamuoni, mna masikio lakini hamsikii. Ahamada kawaloga mmekuwa mazezeta.
 
Soma hii " Zaidi ya yote ameishiwa hoja kwa kuwa sehemu kubwa ya yale alokuwa akilalamikia serikali sikivu ya CCM chini ya uongozi shupavu wa Rais Magufuli umeyafanyia kazi". Hapa umeandika Kiushaabiki zaidi... Basi utateuliwa awamu ijayo ambayo kushinda CCM ni bahati..
 
Huyu ndy harudi tena
Hata akienda ccm hasauuu
Ngoja tusubirie malalamiko yake kashfa zake kwa cdm

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Tetesi. Kama vile Mnyika na Msigwa wanavyohamia CCM. Na Esther Bulaya. Hivi kwa nini analaumiwa mbunge badala ya serikali kwa ubovu wa miundo mbinu? Na kwa nini inasifiwa serikali na sio mbunge kwa mafanikio yote yanayopatikana kwenye jimbo lake?

Amandla...
 
sawa akienda kwani kuna wengine walikuwa wakihitaji hiyo nafasi yake ndani ya chama,chadema inavijana wengi tena graduate
 
Mkuu ahmada juzi alikuwa na faru john (mvuke) mkubwa anawaza hata jimbo la hai hanachake
 
Binafsi naamini wabunge wengi wa upinzani ni wazalendo hata kuzidi baadhi ya wabunge na viongozi wengi wa CCM wa awamu zilizopita na hata wa sasa.

Ilikuwa ni rahisi awamu zilizopita kuwaona baadhi ya wabunge wa CHADEMA wakitetea rasilimali za nchi kuliko baadhi ya wabunge wa CCM. Sasa sijui kimewapata nini CHADEMA awamu hii tumepata raisi mzalendo ambaye walipaswa kushirikiana naye kujenga nchi na kulinda rasilimali za nchi kwa faida ya Watanzania wao wanakalia kumpinga na kumdhihaki, sasa kwa akili za kawaida wale vijana wazalendo waliokwenda CHADEMA kwa ajili ya kutetea maslahi ya taifa lazima nafsi ziwasute. Matokeo yake wanatamani kufanya kazi na mzalendo JPM.

Nami naamini ikiwa hawa vijana wanatoka CHADEMA na kuhamia CCM watapata nafasi ya kufanya kazi na JPM basi Taifa litafika mbali maana wengi wao walishajaribugi kupata nafasi hiyo kupitia CCM lakini wakanyimwa kwa figisufigisu ila kwa sasa kwa kuwa JPM anataka wachapa kazi basi itakuwa ni nafasi kwao nzuri kuonesha uwezo na kulisaidia Taifa kusonga mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…