Tetesi: Suzan Kiwanga apiga hodi CCM

Wacha aende hizi ni nyakati za wapambanaji halisi si nyakati za magugu maji
 
Hamna cha ajabu wala cha haraka subiri akishahamia ndipo ulete habari. Hats Lissu alikuwaga Ccm akahama nikiasi cha kuamua sio dili kiivyo
 
Kati ya watu mabest kabisa wa Magufuli ni huyu Mama na Bulaya
 
Umenena vyema....
 
Chombo kinazama wewe unajifariji tu. Jipange. Wenzako wenye akili wameshashituka wameruka na sasa wapo nchi kavu huku wakishudia mnavyo tapatapa...
Kuondoka kwa watu ambao maslai yao yamekoma kunazamisha vipi chama
 
Ni sawa...

Ni uamuzi na haki yake....no problem!

Alimradi asitutukane aliotuacha!

Aondoke kistaarabu tu!
 
Kwani povu Ni ruksa????
 
Suzana Kiwanga moja ya nyota zilizofunikwa blanket la DJ Mbowe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…