Suzuki aerio model ya 2004

dasa1

Member
Joined
Oct 9, 2019
Posts
14
Reaction score
12
salam wanajamvi. kuna chuma flani kinakaa chini ya gari kwenye matairi kwaajili ya mneso kinaitwa stabilize link bar nina kitafuta kama anaweza kupata niunganishe.. nahitaji ya nyuma. gari ni suzuki aerio
 
Hiii gari stablizer link yake inaingiliana na ya toyota wish , kafunge ya toyota wish inakaa fresh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…