Mwita Mtu Mrefu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 739
- 1,113
Mjomba uko vizuriBOSTON 11
Kuiona gari ni Tshs elfu 10 tu ya dalaliNitakuja kuona gari tuongee biashara, hata nisipofika bei kuna vitu nitaambulia tu!
Kuiona gari ni Tshs elfu 10 tu ya dalali
Karibu
Engine volume. Sio engine powerEngine power: 1490 cc,
Poa mkuu karibu sana hii biashara ina raha karaha zake.Engine volume, sio engine power
madalali nendeni shule
shule ya basic knowledge kuhusu magari
Kwa hio nikupeleke huko bure?Sasa dalali tena anaingiaje hapa![emoji22]
mmmhKuiona gari ni Tshs elfu 10 tu ya dalali
Karibu
Wewe utaratibu wako ukoje dada maana tunafanya biashara sawa.mmmh
Unahitaji hio gari mkuu?'Bima mwaka mzima'
Kwa hiyo nikinunua hiyo gari na kukamilisha zoezi la kuhamisha umiliki hiyo bima ya mwaka mzima ambayo umeinadi itanisaidiaje?