Mwita Mtu Mrefu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 739
- 1,113
[emoji3]Haya ndiyo magari ya sisi wanyonge. Unanunua milioni 2, service yake mpaka inyooke, unakuta ni milioni 4.
rahisi ni gharama etiHaya ndiyo magari ya sisi wanyonge. Unanunua milioni 2, service yake mpaka inyooke, unakuta ni milioni 4.
Cheap is expensive.Haya ndiyo magari ya sisi wanyonge. Unanunua milioni 2, service yake mpaka inyooke, unakuta ni milioni 4.
lakini mdau katoa fursa ya wewe kwenda na fundi wako kujiridhisha, Je hiyo haitoshi?Cheap is expensive.