Tangazo lako halijitoshelezi,sio kila mtu anayajua magali,tunatak kujua uwezo wa ingen pia tuyone, tuone mataili yana ubora gani, tuambie kama kuna tail ya akiba, tuambie kuhudu bima nk, tuambie imetembea kilometa ngapi? Eleza sifa mbadala za gari kama auto ina 4×4 tuone siti ziliivyoisha nk