Pinokyo Jujuman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 552
- 104
Mkuu wangu, asubuhi na mapema baada ya salaat alfajir nenda mitaa ya Tandika pale kituoni na ukipata deals za kariakoo ambazo ni nyingi, pitia kilwa road. HUkosi 70 mpaka laki kila siku na ujanja mzuri, viinulie machuma pembeni ili watu na mizigo yao midogomidogo, waweze kupanda nyuma hasa nyakati za magharibi wakirudi uswazi kutoka mitaa ya k,koo, ubungo.Duduwasha: aksante kaka kwa comment yako lakini kwa bahati nzuri au mbaya nshakinunua na nshakikatia Comprehensive insurance sasa nakitafutia kituo au tenda na dereva nshampata"
Kaka ujue hivyo vigari hapo awali vilikua ni m4 tu unapata bt sisi wenyewe ndio tumevipaisha vinapanda bei kila leo coz demand yake ni kubwa mno; ukienda show room ni m7.5 had m8.
Mkuu wangu, asubuhi na mapema baada ya salaat alfajir nenda mitaa ya Tandika pale kituoni na ukipata deals za kariakoo ambazo ni nyingi, pitia kilwa road. HUkosi 70 mpaka laki kila siku na ujanja mzuri, viinulie machuma pembeni ili watu na mizigo yao midogomidogo, waweze kupanda nyuma hasa nyakati za magharibi wakirudi uswazi kutoka mitaa ya k,koo, ubungo.
Hufuniki na bomba, unaziongeza pembeni usawa wa kiuno, hizo ni kama Toyo tu, sema zina cabin ya gari.Kaka ujue hiki kigari kidogo sasa ukikifunika na bomba unakua unakibana,mizigo kama fridge huwezi beba, labda pemben.
Hufuniki na bomba, unaziongeza pembeni usawa wa kiuno, hizo ni kama Toyo tu, sema zina cabin ya gari.
ONGEZA vyuma pembeni usawa wa kiuno, acha ubishi mi nakupa deal upate fedha za bure.