Suzuki Escudo 2007 vs Rav4 Kili vs Subaru forester, ushauri pleaders

Suzuki Escudo 2007 vs Rav4 Kili vs Subaru forester, ushauri pleaders

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,537
Reaction score
6,472
wakuu, kama kichwa cha habaru kinavyoonyesha. ipi kati ya hizi gari ni bora kuliko zingine in terms of ulaji mafuta, spare parts and durability. thanks.
 
Subaru hukuweka za mwaka gani ila kwa ubora nenda na Suzuki au Subaru. Kwa performance ni Subaru. Spare parts a gari zote mbili zipo ila bei ni kubwa kuliko za rav4. Lakini kumbuka utabadili spare mara nyingi kuliko kwenye subaru na Suzuki. Mafuta rav 4 kili time inakula vizuri kiasi kuliko hizo nyingine. Overall ningerank Suzuki then Subaru then Rav4.
 
nashukuru mkuu.
 
unazungumzia suzuki
 
Attachments

  • 2676770_a.jpeg
    2676770_a.jpeg
    35.3 KB · Views: 199
Chukua V8 tu Kilimo kwanza achana na Gari za kimaskini izo
 
ndio mkuu!
hiyo kitu ni hbr nyingine kuanzia stability,
mpaka confortability, na kuhusu speed ndiyo nyumbani kwake hapo mwendo utaupata utakaokupeleka mpka kilomita 220 kwa saa, engine ni powerful zipo zenye 2000Cc ambazo ni 4-inliner.. aina hii ya vitara kwenye barabara korofi ni lazima ikushangaze coz imeundwa mahususi kwaajili ya maeneo hayo, kumbuka inapopita jeep escudo inapita pia.

kiasi cha mafuta kinacholika kwa safari za town ni 23Mpg...
boot ni ndogo hivyo basi mizigo mingi siyo rafiki kwa suzuki coz nature ya suzuki ni aina ya min car not landy suzuki.

upatikanaji wa spare siyo mgumu duka la kwanza la pili la tatu lazima upate you cant compare with nissan spare part.

Bado ni imara, ngumu,na rafiki kwa watu wenye pato la kati..
 
Back
Top Bottom