nashukuru mkuu.Subaru hukuweka za mwaka gani ila kwa ubora nenda na Suzuki au Subaru. Kwa performance ni Subaru. Spare parts a gari zote mbili zipo ila bei ni kubwa kuliko za rav4. Lakini kumbuka utabadili spare mara nyingi kuliko kwenye subaru na Suzuki. Mafuta rav 4 kili time inakula vizuri kiasi kuliko hizo nyingine. Overall ningerank Suzuki then Subaru then Rav4.
ukilinganisha na subaru forester ya 2008 au 2009? comfortability
hiyo kitu ni hbr nyingine kuanzia stability,ndio mkuu!