Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nzuri, ngumu ila spare chache, kama ni gari ya kwanza sikushauri.
sidhani kama kuna escudo 2wd...Wakuu wakali wa haya mambo naomba msaada wa kwa anayelijui hili gari vizuri,
Anishauri ama nilichukue au niachane nalo!!
Asante
sidhani kama kuna escudo 2wd...
Kwa ujumla scudo ni gari nzuri sana, spare zipo nyingi tu tena genuine.
[emoji24][emoji24][emoji24] hapo kwenye spare ndo pananichanganya
zipo nyingi sana ila ni genuine na gharama kwa mfano ikifa engine ya hio escudo sijui mwaka ila generation ya 3 ni kuanzia milion 7
Kwan ikiwa gari ya 10 hatonunua spare ikiharibika?Ni nzuri, ngumu ila spare chache, kama ni gari ya kwanza sikushauri.