Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,607
- 9,171
Duh nimecheka sana. Kwa hiyo siku hizi huko bongo hakuna matatizo ya barabara siyo? Lami kila kona. Kumbe le profesa amefanya kazi kubwa sana huko.Ushauri wa bure hapo juu,hizi gari zilipendwa sana wakati kuna utata wa njia mjini ndio baadae watu wakahamie kwenye helly hensen.
10m ni kubwa sana,yaani ukienda Yard unaipata kwa bei hiyo mpya kikwetu kwetu.