Car4Sale Suzuki escudo for sale. 3.6Mil only in Dar es salaam

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Gari iko poa haina shida yoyote.

Tairi mpya.

vioo vipya.

Gari ni ya kumwaga oil na hydrochloric tu.

tuwasiliane chap twende bandarini tukachukue gari

location: Bandarini Dar es salaam, 0713096076.

 
Mbona unaficha sura ya gari mjomba
 
Ila wabongo hiyo nchi yenu sjui mnaiwezaje. Full ujanja ujanja yaani. Gari ikachukuliwe Bandarini utadhani imeshuka juzi kutoka Japan
 
Hapo ndio bandarini?au hii ni mfano wa hiyo unayoiuza ambayo ipo bandarini!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…