Mkuu let me share with you story yangu
Nina suzuki escudo ya 1994, niliipaki kwa mwaka mmoja mwaka jana mwishoni nkaamua kiamsha, nkaipiga service kubwa na kila kitu, ikawa ina shida ya kuchelewa kubadilisha gear, yan gari zito bila sababu, nkasafiri nalo kama km 650 Hivi kija Dar...