Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Gari iko vizuri sana haina shida na mpaja sasa imetoka kwenda mahali.Kwa hali ya gari yako ilivyo ukipata mteja wa 1.5m usiache pesa.
Rangi una unabadili unaweka unayotaka,tatizo liko wapi?Gari ni zuri mkuu kwa hiyo bei sema tatizo rangi wengi hawapendi rangi nyekundu may be black
usimcheke Mkuu hahah🤭🤭🤭🤭
Iko vizuriSUZUKI ESCUDO
gari ipo pouwa
Haina shida yeyote
Full vibali
Full doc'ments
Bei mil 3.2
Simu 0683011003
View attachment 1871311View attachment 1871312View attachment 1871313View attachment 1871314
View attachment 1871315
Hizi gari ni imara sana hua nazikubali kwa uvumilivu ikifika 2m nicheki mkuuIko vizuri
Si salama kumaliza mshale kwa hiyo gari.mshale inamaaliza iyoo ?
bac haifaiiSi salama kumaliza mshale kwa hiyo gari.