kwemsangazi
JF-Expert Member
- Jun 18, 2013
- 260
- 87
Kwa mwenye gari tajwa hapo juu naomba tuwasiliane.
Sifa za gari:
1. Gari iwe ya milango mitano
2. Iwe manual
3. Hali ya gari iwe inaridhisha kwa muonekano wa ndani na nje
4. Bei yake isizidi milioni 5.5
Tuwasiliane kupitia 0754-342-034
hizi gari zipo 2 moja ipo mbagala ingine ipo kinondoni , nakupigia hupokei utakapokuwa tayari utanicheck kwenye 0685 31 23 26
uko sahihi kiongozi jamaa hapokei cm kabisa . sasa sijui kaweka namba ya ninijamaa tapeli nadhani alikuwa ana beep kama hapa watu wako kijiweni au wanafanya kweli.
Mnisamehe wadau pale nilipowakwaza kwa kutokupokea simu... gari imeshapatikana!!!