Suzuki Escudo. Mwenye kuijua Spea, Mafuta & Utunzaji

Kwa Ambaye ni Fundi naomba athibitishe.
Nasikia kua hizi Vitara Escudo udhaifu wake uko kwenye Miguu, yaani spear za miguu huwa rahisi kufa.(Bushi, Cv joints, bearings nakadhalika...)
 
Kwa Ambaye ni Fundi naomba athibitishe.
Nasikia kua hizi Vitara Escudo udhaifu wake uko kwenye Miguu, yaani spear za miguu huwa rahisi kufa.(Bushi, Cv joints, bearings nakadhalika...)

Escudo za mwaka gani zenye hilo tatizo?
Mimi sio fundi ila nina ya 2005 sijagusa kitu, hata bush tu, na inakaribia miaka 2 na sioni dalili. Labda kwa sababu bado mpya. Ila kuna jama zangu wawili walikuwa nazo sijasikia hizo issue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…