Suzuki escudo NOMADE inauzwa

Nakuelewa pastor..kwa mwaka huo na pernaty uliyolipia hata bei yake kidogo inatakiwa iwe imechangamka. lakini 14m nyingi mkuu angalau 9m ningekuelewa vizuri sana yani hapo ungerudisha hela yako na faida ya kutosha.
 
Mteja jamani ajitokeze siuzii shida kwani nimeiweka tu yard
naomba nikurudieshie gharama za kuiclear kisha uniachie gari maana huna shida ya hela wewe.

Mkuu bei hiyo ni mcharuko. kama vipi nakushauri itoe kanisani ifanye kazi ya BWANA. Utalipwa thawabu yako kaka (amini tu!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…