M Mlima meru Senior Member Joined Dec 30, 2012 Posts 114 Reaction score 20 Dec 9, 2013 #1 Suzuki Eskudo (3 door) Imefanyiwa overwhole Engine mwezi Nov 2013 Imelipiwa sticker zote hadi Nov 2014 Ina tairi mpya Ina cd music player Rangi yake ni maroon japo imefifia Ipo Arusha... Sababu za kuuza ni kuwa nimenunua gari nyingine kwa mnunuzi anayetaka anaweza kuni pm na kuja kuiona....pia naweza kutuma picha kwa email wakati wowote zikihitajika kwa email...email yangu: jafariabc@gmail.com au unaweza kuni pm
Suzuki Eskudo (3 door) Imefanyiwa overwhole Engine mwezi Nov 2013 Imelipiwa sticker zote hadi Nov 2014 Ina tairi mpya Ina cd music player Rangi yake ni maroon japo imefifia Ipo Arusha... Sababu za kuuza ni kuwa nimenunua gari nyingine kwa mnunuzi anayetaka anaweza kuni pm na kuja kuiona....pia naweza kutuma picha kwa email wakati wowote zikihitajika kwa email...email yangu: jafariabc@gmail.com au unaweza kuni pm
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,886 Dec 9, 2013 #2 Weka tu picha hapahapa mkuu........biashara matangazo........
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,668 Dec 9, 2013 #3 Duh Kumbe linatembea.
M Mlima meru Senior Member Joined Dec 30, 2012 Posts 114 Reaction score 20 Dec 10, 2013 Thread starter #4 Nipo safarini narudi weekend (jumamosi) nitaweka picha