2005 model 61541km the vehicle was bought about Few years ago from DT Dobies as brand new. Since it was bought it as been services By the same sale D.T. Dobies. Manual Transmission. Price 23mil
okkk...ila kama bei sio kwa watanzania wengi tulio wa kawaida....sio mbaya kama ukipunguza ukaanzia kwenye 15m hivi inaweza kununuliwa haraka...maana hapo kaka naona kama unauza harrier vile...ni maoni tuu
Yeah, kama imelipiwa kodi zote, bei si mbaya sana. Isije tu kuwa ilinunuliwa na mtumishi wa umma na ina msamaha wa baadhi ya kodi, hapo sasa inakuwa hadithi nyingine.