Mwita Mtu Mrefu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 739
- 1,113
Hakuna linaloshindikana.Nilijua suzuki carry...nashida na carry
Haina tatizo lolote mkuuInatatizo Gani,Vipi Ulaji Wake Wa Mafuta…¿
Hiyo carry nzuri unauzaje?Hakuna linaloshindikana.
Nakuletea carry nzuri ikusaidie shughuli zako.
Ofa yako ngapi?
2M Cash Ipo Mfuko Wa Shati....Haina tatizo lolote mkuu
Mwenye mali kabanwa na mambo binafsi kaamua kuiuza ajisitiri
Hio hapa suzuki beba namba D kwa 5mil only.2M Cash Ipo Mfuko Wa Shati....