Suzuki Jimney Wide

Hii bado iko bomba.. Its good to go.. Kama wamekupa bei nzuri ichukue.. Ukibadili plug itakuwa inatoa maji.. Hii unaweza kaa nayo miaka mingine kumi kama utaendesha vizuri.
Alafu naskia mafundi wanao jua kutengeneza hizi gari na spare zake ni Adimu.......hili likoje kk
 
Anazingua huyu hamna gari iliofikisha hizo kilometa Tena kwa trips za mjini.
Nataka ninunue hiyo gari kutoka japan mzee kwa safari za mjini yani kutoka kwangu ubungo mpaka lumumba kwenye kiduka changu kina km 115000 ndo maana naomba ushauri kwa mnaozijua hizi gari
 
Milage milioni moja na laki na hamsin?
 
115000 chief
Mimi sio mjuvi sana wa magari ila hio gari nimepata kuitambua kupitia kwa bro wangu ana harrier haijamaliza hata miez mitano akaniambia anataka hio jimny yako akaisifia sana nikaingia google nikaiona nikajisemea moyoni bro wangu ana zeeka (desire of age)πŸ˜‚
Sifa zake ni jembe
Kapo juu (Mabonde kanafukia)
Wese kananusa tu
Kanataka kufanana na jeep!πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nataka ninunue hiyo gari kutoka japan mzee kwa safari za mjini yani kutoka kwangu ubungo mpaka lumumba kwenye kiduka changu kina km 115000 ndo maana naomba ushauri kwa mnaozijua hizi gari

Unajua, haya mambo ya magari yako hivi.
Sawa unaweza kukuta gari ina milleage kidogo mno, lakini unakuta ilishawahi kupata tatizo na ikawa na hitilafu kwenye engine (especially kipindi cha ,afuriko japan, gari nyingi huwa zinajaa maji sana)
So, usifungwe sana kwa wingi wa km ambazo inaonyesha imeshatembea ukahisi labda ni mbovu.

Pia, kama inakukosesha amani, usijali. Unaweza kutazama nyingine, kisha tukawasiliana, nikakuonganisha na mtu ambaye yeye huwa anasaidia kulipia ushuru. Nitawaonganisha, mtapeana mikataba , ya kisheria kabisa.. baadanya hapo, nenda bank kalipie kwenye account ya be forward iloyopo kwenye invoice uliyopewa na be forward.
Pindi gari lako litakapowasili Atakulipia ushuru pamoja na gharama zote za bandari za gari yako, kisha utamrejeshea kwa awamu mbili.

Hiyo cif, utakwenda mwenyewe kulipia kwa account ya kampuni unapoagizia (kama ni be forward utalipia kwenye account yao officially iliyopo kwenye invoice)

Enjoy!
 
Nataka ninunue hiyo gari kutoka japan mzee kwa safari za mjini yani kutoka kwangu ubungo mpaka lumumba kwenye kiduka changu kina km 115000 ndo maana naomba ushauri kwa mnaozijua hizi gari
Nunua,watu wanaingia gari zina 175km
 
Dah"shukran sana kaka ngoja nakuja pm
 
Jimny Wide ni gari nzuri sana! Nilishawahi kumiliki kwa muda wa miaka miwili. Ni reliable, good fuel consumption na pia hakichagui barabara.
Ukitaka uenjoy zaidi go for standard manual transmission
 
Jimny Wide ni gari nzuri sana! Nilishawahi kumiliki kwa muda wa miaka miwili. Ni reliable, good fuel consumption na pia hakichagui barabara.
Ukipaka uenjoy zaidi go for standard manual transmission
liter 1 ulikua unatembea km ngapi chief?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…