Suzuki Jimny , Manual or Automatic

Asante sana mkuu nimechukua manual transmission ila ni cc 650,ni kwa ajili ya kuwapeleka watoto shule na kanisani mkuu,sikujua kama kuna cc 1300
Yeah! Engine kubwa Jimny Wide iko Poa sana na ina nguvu
 
Asante mkuu ,nimechukua suzuki Jimny Manual Transmission cc 650 ni kwa ajili ya kuwapeleka watoto shule na kuwapeleka kijijini kuwasalimia babu zao kijijini Marangu mkuu Arusha to Marangu almost 110 km,one way trip boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…