WADAU NAOMBA KUULIZA NA KUPEWA UFAFANUZI KUHUSU HII GARI AINA YA SUZUKI KEI kina cc650 nimekipenda nataka kununua....ni vyema kujua mawazo wale waliowah kikutumia au kuwanako au rafiki yako kuwa nacho.
Sanasana spare parts upatikanaji wake...mafuta sio tatizo naona kma 1litre = 24km hiki kigari...wasiwasi wangu spare na engine zake kama hazisumbui....
Maoni yenu mhm wadau nikichukue niliyonayo RAV4 inakula wese kwenye foleni mpaka natumia 20000 kwa siku!!