Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni gari ngumu ulaji wa mafuta ni mzuri sana ila spare sina uhakika ila zaweza kuwepo ila ni gari ya zamani kwa ufupi iangalie ilivyo ujue
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
usiwe na haraka. subiri wajuaji wanakuja.
ziko vizuri sana nikimaanisha imara, spare ziko japo ghali kidogo.
Wakuu ninaishi kijijini ambapo barabara ni mbaya sana na kuna mtu anataka kuniuzia hili gari. Kabla sijanunua naomba wajuzi wanijuze ie upatikanaji wa spare, ulaji wa mafuta, ubovu etc. Asanteni
Sawa Mkuu!
unaishi wapi na unataka hiyo gari kwa matumizi gani? na je gari iko kwenye hali gani?
nimemiliki Suzuki maruti haina tofauti kubwa na hiyo samurai. ukinijibu nitakupa ushauri bora.
Samurai ni model ya kitambo "enzi za 90's to 80's
"zilikuwa zimetengenezwa kwa aina ya pick up, na baadaye SUV (Jimny) hadi mwaka 1998, model