Suzuki Samurai

Ntu

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,001
Reaction score
650
Wakuu ninaishi kijijini ambapo barabara ni mbaya sana na kuna mtu anataka kuniuzia hili gari. Kabla sijanunua naomba wajuzi wanijuze ie upatikanaji wa spare, ulaji wa mafuta, ubovu etc. Asanteni
 
Wakuu ANY contribution?
 
Nazipenda gari za aina hii, jamani niko naenda shambani, away from home on weekend, nna home made wine na makorokocho mengine. I was raised a country girl!

SIjui kuhusu spare, zinaweza kuwa utata maana ni chache i guess.
 
Ni gari ngumu ulaji wa mafuta ni mzuri sana ila spare sina uhakika ila zaweza kuwepo ila ni gari ya zamani kwa ufupi iangalie ilivyo ujue

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
usiwe na haraka. subiri wajuaji wanakuja.
 
Thanks Mkuu, ngoja wajuzi watiririke!
 
Ni gari ngumu ulaji wa mafuta ni mzuri sana ila spare sina uhakika ila zaweza kuwepo ila ni gari ya zamani kwa ufupi iangalie ilivyo ujue

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

thanks Mkuu ntazingatia ushauri wako
 
ziko vizuri sana nikimaanisha imara, spare ziko japo ghali kidogo.
 
Wakuu ninaishi kijijini ambapo barabara ni mbaya sana na kuna mtu anataka kuniuzia hili gari. Kabla sijanunua naomba wajuzi wanijuze ie upatikanaji wa spare, ulaji wa mafuta, ubovu etc. Asanteni

Samurai ni model ya kitambo "enzi za 90's to 80's
"zilikuwa zimetengenezwa kwa aina ya pick up, na baadaye SUV (Jimny) hadi mwaka 1998, model
 
Sawa Mkuu!

unaishi wapi na unataka hiyo gari kwa matumizi gani? na je gari iko kwenye hali gani?

nimemiliki Suzuki maruti haina tofauti kubwa na hiyo samurai. ukinijibu nitakupa ushauri bora.
 
hiuo gari syo ya kuliza ni gari ngumu na inajulikana ....ndomana hata tume ya vitambulisho vya taifa wamezichukua na wanazitumia
 
unaishi wapi na unataka hiyo gari kwa matumizi gani? na je gari iko kwenye hali gani?

nimemiliki Suzuki maruti haina tofauti kubwa na hiyo samurai. ukinijibu nitakupa ushauri bora.

Mkuu ninaishi kijijini ambapo barabara ni mbovu mno! Ninahitaji kwa matumizi yakufanya usafiri wangu binafsi. Gari ipo kwenye hali nzuri (odometer inasoma 98,000 kms).
 
Samurai ni model ya kitambo "enzi za 90's to 80's
"zilikuwa zimetengenezwa kwa aina ya pick up, na baadaye SUV (Jimny) hadi mwaka 1998, model

Mkuu mkuu ila hii siyo pick-up.
 
wakati mwingine jiamini katika maamuzi yako na take risk, kama nafsini mwako ushaipenda nunua, kwani unataka ya kuzeeka mayo? Ulaju wa mafuta pima mwenyewe, mwombe huyo anaetaka kukuuzia uweke mafuta uzunguke nae ujiridhishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…