Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu weka mabonge ya barafu kwenye rejeta kabla ya safari, ahsante.Habari mafundi,naamini kweye hili group tuna mafundi wa kutosha.
Nina gari langu Suzuki swift inasumbua sana,linachemsha mara kwa mara.
Hii imetokea baada ya kufungua machime na kubadili ring.
Kwa mwenye naomba ushauri nifanye nini zaidi ya hapo?