Suzuki swift vs Toyota cam

Suzuki swift vs Toyota cam

chambi1509

Member
Joined
Mar 29, 2018
Posts
95
Reaction score
42
Habari wadau!

Heshima yenu mabibi Na mabwana!

Kwanza kabisa nimekuja mbele yenu kufutwa tongotongo katika macho yangu!

Nahitaji kujua ni gari gani nzuri kati ya Suzuki swift VS toyota cam?

Napenda kukushukur wa ndugu zangu!
 
Toyota cam ni camry,au cami?
 
Back
Top Bottom