S Sendeu Member Joined Jun 29, 2009 Posts 59 Reaction score 2 Dec 1, 2011 #1 wadau mwenye uzoefu na gari ya aina hii tafadhali amwage dataz hapa JF nina mpango wa kukanunua haka kagari siku za karibuni -nahitaji kujua uzuri na ubaya wake mf.spea parts,fuel,durability etc. nawasilisha asanteni
wadau mwenye uzoefu na gari ya aina hii tafadhali amwage dataz hapa JF nina mpango wa kukanunua haka kagari siku za karibuni -nahitaji kujua uzuri na ubaya wake mf.spea parts,fuel,durability etc. nawasilisha asanteni