Car4Sale Suzuki Van for sale 4.8m, pungufu unaongea

HABARI ZENU WAPENDWA, NASHUKURU NIMEFANIKIWA KUPATA MTEJA NA GARI NIMEISHAIUZA LEO MCHANA, ASANTENI SANA KWA MAOMBI YENU (GARI IMESHAUZWA).
 
Kwa miaka yote imetembea kilometer 85 elfu tuu ????? ????? Vizia wakumpiga
 
Acha kuliakulia wé...mwenzako ashaiuza ....wenye kuhitaji Gari washamaliza

Ova
Ahsante kaka kwa kunisaidia kunijibia huyo anaejihita ngurumoo, huyu ngurumoo ana roho mbaya utafikiri jini makata
 
Kwa miaka yote imetembea kilometer 85 elfu tuu ????? ????? Vizia wakumpiga
Kaa kimya na acha roho mbaya kama umekalia jeki. Kwahivyo kama gari ilinunuliwa ukiwa 0 kilometer? Kwa taarifa yako gari nimeshauza tangu mchana acha roho mbaya kama umekalia msumar wa moto!
 
Kaa kimya na acha roho mbaya kama umekalia jeki. Kwahivyo kama gari ilinunuliwa ukiwa 0 kilometer? Kwa taarifa yako gari nimeshauza tangu mchana acha roho mbaya kama umekalia msumar wa moto!
ha ha haa...kazoea kirikuu za kilomita lakimbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…