Suzuki vitara escudo for sale

Rwamuhuru

Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
50
Reaction score
0
Kuna rafiki anauza gari lake aina ya suzuki vitara escudo.

Ni Spaniards waliomaliza term yao ya ajira Tanzania na wanataka kurudi kwao Spain.

Unaweza kuwasiliana kwa namba zao (wanajua kiswahili vizuri)
 

Attachments

sema bei ngapi?? weka mambo hadharani...........
 
kaka asante tutajaribu kucheck nao kwa wenye uhitaji am sure!
 
Kanavutia, lakini ni vizuri mtu akijua bei yake ili ajue kama anauwezo hata wa ku-negotiate au la!!
 
Mwammbie aioshe kwanza, maana matairi yalambishwa ule udongo mwekundu na kwa vile unafanana na rangi ya gari ngoma draw.
 
Mwammbie aioshe kwanza, maana matairi yalambishwa ule udongo mwekundu na kwa vile unafanana na rangi ya gari ngoma draw.


Hata akiiosha itachafuka tena barabara za lami urefu mail 100 zilizo baki vumbi au umesahau ndugu yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…