Car4Sale Suzuki vitara new model bei ya kutupwa

Car4Sale Suzuki vitara new model bei ya kutupwa

Joined
Dec 24, 2023
Posts
29
Reaction score
38
Nauza suzuki vitara namba D gar bado mpya tangu imeagizwa toka japan haijatembea sana
Gari ni ya mwanamke ni manual

sababu za kuuza: ni manual transmission yeye anataka automati

Location: Moshi mjini
mawasiliano 0657662776
serious buyers karibuue e to eeeeweervvv v
IMG-20240221-WA0040.jpg
IMG-20240221-WA0047.jpg
IMG-20240221-WA0043.jpg
IMG-20240221-WA0044.jpg
 
Attachments

  • IMG-20240228-WA0003.jpg
    IMG-20240228-WA0003.jpg
    115.8 KB · Views: 7
Mwanamke alitaka gari automatic ila akanunua manual, afu baada ya kukaa nalo kuanzia huo muda wote kaamua kuliuza kisa ni manual tena? Mkiweka maneno mengi mnatia walakini biashara zenu, sema unauza gari ... Weka picha za kutosha ... Weka Bei Kaa kwa kutulia...

Haya mambo sijui gari la mwanamke achana nayo
 
wanunuaji walio serious wameshanifata inbox vya kutosha wewe uliye kaa kukosoa kila kitu si mnunuzi
 
Nauza suzuki vitara namba D gar bado mpya tangu imeagizwa toka japan haijatembea sana
Gari ni ya mwanamke ni manual

sababu za kuuza: ni manual transmission yeye anataka automati

Location: Moshi mjini
mawasiliano 0657662776
serious buyers karibuue e to eeeeweervvv vView attachment 2919137View attachment 2919138View attachment 2919141View attachment 2919166
Sasa comrade unauzaje gari pasipo kuweka bei yake ya kuuzia! Weka bei bhana ili upunguziwe usumbufu wa kupigiwa pigiwa simu hovyo za kuulizia tu bei ya hii chombo.
 
Back
Top Bottom