offset Frankie
Member
- Dec 24, 2023
- 29
- 38
Milioni 50 mbona ni ghali mkuu?Nauza suzuki vitara namba D gar bado mpya tangu imeagizwa toka japan haijatembea sana
Gari ni ya mwanamke ni manual..
Kwa Milioni 40 huwezi kupata mteja.Nauza suzuki vitara namba D gar bado mpya tangu imeagizwa toka japan haijatembea sana
Gari ni ya mwanamke ni manual...
wanunuaji walio serious wameshanifata inbox vya kutosha wewe uliye kaa kukosoa kila kitu si mnunuziMwanamke alitaka gari automatic ila akanunua manual, afu baada ya kukaa nalo kuanzia huo muda wote kaamua kuliuza kisa ni manual tena? Mkiweka maneno mengi mnatia walakini biashara zenu, sema unauza gari ... Weka picha za kutosha ... Weka Bei Kaa kwa kutulia...
Haya mambo sijui gari la mwanamke achana nayo
Kasema ni 70mMilioni 50 mbona ni ghali mkuu?
Manual tamu sanaaNauza suzuki vitara namba D gar bado mpya tangu imeagizwa toka japan haijatembea sana
Gari ni ya mwanamke ni manual
sababu za kuuza: ni manual transmission yeye anataka automati
Location: Moshi mjini
mawasiliano 0657662776
serious buyers karibuue e to eeeeweervvv vView attachment 2919137View attachment 2919138View attachment 2919141View attachment 2919166
Sasa comrade unauzaje gari pasipo kuweka bei yake ya kuuzia! Weka bei bhana ili upunguziwe usumbufu wa kupigiwa pigiwa simu hovyo za kuulizia tu bei ya hii chombo.Nauza suzuki vitara namba D gar bado mpya tangu imeagizwa toka japan haijatembea sana
Gari ni ya mwanamke ni manual
sababu za kuuza: ni manual transmission yeye anataka automati
Location: Moshi mjini
mawasiliano 0657662776
serious buyers karibuue e to eeeeweervvv vView attachment 2919137View attachment 2919138View attachment 2919141View attachment 2919166
Kwani alipunguza mkuu?Alisema 67milMilioni 50 mbona ni ghali mkuu?
Maana yake ni kwamba ilikua haifanyiwi service ya kutosha, sababu wanawake wanajua kunyoosha Sterling tu.