Suzzy wa E-News EATV, kipaji hutakiwi kulazimisha

Muache dada wa watu ajitafutie riziki, kajitahidi hadi amefika hapo. Unataka aende wapi sasa, akajiuze au? Maisha yenyewe magumu. Ungemtafuta ili umshauri arekebishe kile anachopungukiwa.
well said, Coz Sister uwa anataja insta yake pale anaweza mchek akamueleza coz now insta wame laisisha kuna insta direct message (DM). Kama anaofia kujulikana anaweza akatageneza anonymous account
 
Huon hata mamybby amejua
Kuvaa after kwenda clouds

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Umeongea kweli mkuu, Suzy ni mzuri ila kama vile hajiamini, ukisikiliza sauti yake inakera anaibana mpaka basi, ukija kwenye mavazi ndio balaa, juzi alivaa kaptula mapaja yote wazi, ikaja tena amevaa kipensi cha jins halavu chini kimechanwa chanwa kama vile viguo vya saida anavyochezea muziki wake, mapaja yote wazi juu kiblauzi kimebana nyonyo..aiseeee yale mavazi si ya kuvaa kazini sijui why wanaruhusiwa?!
 
Namtaman sana, dau lake bei gan?

Sent from koromije using bashite
 
Hivi huyu dada nyie mnamuonaje, mi naona anakaribia kunifanya niache kukiangalia kipindi ambacho nakipenda. Sauti ya kuchonga, mavazi shida. Kweli kuna kazi ni kipaji na hutakiwi kulazimisha. Ananikera.

Mkuu weka picha tuanze kufuatilia ni Nani nasi tumjue,mchangiaji mmoja kasema ana msambwanda,sasa nataka nishuhudie mwenyewe sitaki ya kuambiwa kabla sijamaliza kuandika uwe umeattach photo
 
Mkuu weka picha tuanze kufuatilia ni Nani nasi tumjue,mchangiaji mmoja kasema ana msambwanda,sasa nataka nishuhudie mwenyewe sitaki ya kuambiwa kabla sijamaliza kuandika uwe umeattach photo

ahahahahahha!ila kweli anakera!hatulii yaan mhhh
 
Hivi huyu dada nyie mnamuonaje, mi naona anakaribia kunifanya niache kukiangalia kipindi ambacho nakipenda. Sauti ya kuchonga, mavazi shida. Kweli kuna kazi ni kipaji na hutakiwi kulazimisha. Ananikera.
yaan nikimuonaga tu lazima nibadilishe channel,anaboa kimaku yaan!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…