Suzzy wa E-News EATV, kipaji hutakiwi kulazimisha

Shida n hzo kampun wanazofanyia
Kaz hazna,sheria ya mavaz ya
Kuvaa uwapo kazn yan ww unamua
Uvae gani hakuna wakukuuliza
Ilimrad tu umefka job

Eg:mwangalie diva pale clouds
Nguo anazovaa mpaka na jiuliza
Hua anaenda kaz ama n biashara
Anafanya

Mwanangalie adam mchomvu
Hyo minywele na zle bangi zake anazofuta anaingia nazo job
Hvo hvo

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Hivi huyu dada nyie mnamuonaje, mi naona anakaribia kunifanya niache kukiangalia kipindi ambacho nakipenda. Sauti ya kuchonga, mavazi shida. Kweli kuna kazi ni kipaji na hutakiwi kulazimisha. Ananikera.
Huyo kipaji chake kiko pale meeda sinza yaani anajichechetua na kujiona anajua wakati ni ziro kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…