Vitu ambavyo siwezi Fanya ni kwenda kwa Mganga...ngoja nizichange tu mkuuJitoe ufahamu mtokee hivyo hivyo,nenda kwa mganga akupe kizizi,akikubali tafuta kasongo sebene utakuwa umemaliza Kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea kweli mkuu, Suzy ni mzuri ila kama vile hajiamini, ukisikiliza sauti yake inakera anaibana mpaka basi, ukija kwenye mavazi ndio balaa, juzi alivaa kaptula mapaja yote wazi, ikaja tena amevaa kipensi cha jins halavu chini kimechanwa chanwa kama vile viguo vya saida anavyochezea muziki wake, mapaja yote wazi juu kiblauzi kimebana nyonyo..aiseeee yale mavazi si ya kuvaa kazini sijui why wanaruhusiwa?!
Haa Haa Haa saa 12 jioni j.3 hadi ijumaaKipindi chake kiko mida gani? nataka kuhakikisha kama hamumsingizii!
Jumatatu to alhamis saa 12 kamili jioni EATV.. iku nyingine anakuwa pia kwenye friday nite live kila ijumaa saa 3 kamili usiku.Kipindi chake kiko mida gani? nataka kuhakikisha kama hamumsingizii!
Mbona yupo vizuri tu!!Hivi huyu dada nyie mnamuonaje, mi naona anakaribia kunifanya niache kukiangalia kipindi ambacho nakipenda. Sauti ya kuchonga, mavazi shida. Kweli kuna kazi ni kipaji na hutakiwi kulazimisha. Ananikera.
Ebwana wee!! Udenda wamtoka Mwanaume mashine!!
Mie motoHahahah
unajuaga sikuelewagi wewe ni moto au baridi