Svchost.exe

Bontowar

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2009
Posts
520
Reaction score
53
svchost.exe zinakuwa nyingi kwenye Window Task Manager zinasababisha CPU and PF usage kubwa na inafanya Compute inakuwa Slow

Kuna njia yeyote ya kupunguza hiyo SVCHOST.EXE
 
Mkuu asante saana ninzuri likini ni ya window Vista na mie ninatumia XP
ninaweza kuipata
 
Nimeacha vista kitambo baada ya hayo matatizo
 
Kwa msaaada zaidi tembelea hapa naimani utaweza kutatua tatizo lako.Process Explorer

Bro thanks imenisaidia kiasi fulani na imenipa uwezo fulani wa kugundua vitu

na kuna jamaa alitoa use full command kwenye forum fulani ninaitafuta saana sijui iko wapi kama unaijua nitumie URL
 
Svchost.exe kawaida zinakuwa 8 tu kwenye Windows Task Manager na hazina Madhara Ukitakata habari zaidi kuhusu Svchost.exe Bonyeza hapa A description of Svchost.exe in Windows XP Professional Edition Na kuhusu CPU and PF usage kubwa Kutumika Jaribu kupunguza Program ambazo wewe mwenyewe umeziweka Zinazo Run na amabazo wewe huzitumii Mara kwa Mara hizo Program zinazo Run wakati unawasha hiyo Computer yako ndio hapo zinapo fanya CPU and PF usage kubwana kuwa na Computer yako kuenda Taratibu sana Tumia Hii Program kuzipunguza kwa kuondosha (Tick) nayo ni hii
Autorun for Windows Bonyeza hapa Autoruns for Windows Lakini Uwe Muangalifu namna ya kuitumia hiyo Autorun for Windows Usome kwanza Maelezo yake kabla ya kuitumia kwa ufupi unaweza kuacha kutowa (Tick) Program za Microsoft zote na Security yaani Anti-Virus Anti-Spyware zingine ulizoweka wewe waweza kutowa kisha Restart Computer yako kisha Angalia sasa CPU and PF inatumika kwa wingi? utaona imepunguwa sana haitotumika kwa wingi ukifuata maelezo yangu niliyokwambia tangu mwanzo Matatizo yako yatakuwa yamekwisha asante sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…