Swagger za aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Iyo picha ya kwanza hapo chini inaonekana aliangalia movie ya Godfather iliyo hit 1950s huko Hollywood Marekani.

Na picha ya pili inaonekana kamuiga Joe Biden rais wa Marekani
 
Huyu jamaa yuko wapi, au kwao Shinyanga anachoma ubani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…