Swahili gospel YouTube views

Sista Horn Kombe Masufuri

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2018
Posts
450
Reaction score
119
Watanzania wamekuwa wakiwadharau wakenya sana linapokuja swala la muziki. Changamoto hapa.Naomba wabongo walete nyimbo za injili ambazo zimefikisha 5M views kwenda juu. Na si muziki wa kidunia tafadhali .
1.Ning'are by shusho.
Leteni hizo zingine
 
2:.......
 
Sista nakuona tu.wabongo wameacha dini saiv,hawawez kuj hap
 
Watanzania wamekuwa wakiwadharau wakenya sana linapokuja swala la muziki. Changamoto hapa.Naomba wabongo walete nyimbo za injili ambazo zimefikisha 5M views kwenda juu. Na si muziki wa kidunia tafadhali .
1.Ning'are by shusho.
Leteni hizo zingine
Kenya Mwema imefika 9 million views
 
Mwema -9M
Nani kama wewe -7M
Kibali -6M
Nikupendeze -5M
Umenifanya ning'are -5M (tz )
Sasa wabongo nawaomba mfunge vinywa vyenu na muache kututajia akina Solomon na muhando .hao watu hawatambulikani Kenya sasa hivi. We have our own gospel stars men.gospel Kenya secular Tanzania
 
We are Freemason don't need your gospel. Sorry if you believe there is life after death
"We" ukimaanisha wewe na nani?

Hapa bongo gospel siyo popular sana japo kuna few individuals wanaofanya vizuri, sababu Muslim ndio majority ya population tupo zaidi ya 60%
 
Kwa gospel song's Tanzania haioni Kenya hata kidogo
 
Mmeona ukabila hauwezi kufua dafu sasa hivi mmeingia kwenye udini.
Sasa sisi Waislam, Wahindu, Budha na Waabudu mizimu tufanye nini!?
Na hili ninauhakika hamtaweza.
 
Jaribu kuangalia hizo nyimbo zina muda gani tangu ziachiwe YouTube, mfano hizo za mercy masika ni miaka 3 au 2 iliyopita ndio views hao.Tz mwangalie angel Bernard_siteketei ana 4.1m na ni mwaka mmoja... still Tanzanians are good in gospel music.
 
Nenda angalia nyimbo za Kenya upande wa gospel utaelewa ninachokisema
Kwa evidence ya kuwa na viewers wengi sidhani kama ndio kipimo cha ubora wa muziki.Viewers wengi inamaana ni support na sio kwamba wametuzidi kimziki..Kenya wanasapoti zaidi mziki wa gospel kuliko Tanzania
 
Tanzania haina Dini. Lakini kenya inadini.
Viongozi wa kenya wote ni wakristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…