blackmweusi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 241
- 186
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Whatever tafuta wa kubishana na yeye. Mimi si wa rika lako
Kwa evidence ya kuwa na viewers wengi sidhani kama ndio kipimo cha ubora wa muziki
Nadhani wote mnchanganya kati ya VIEWS na VIEWERS, unachoona YouTube ni idadi ya VIEWS na si VIEWERS, so ishu za asilimia ngapi ya Waislamu au Wakristo wala haingii hapo, ni mara ngapi video imeangaliwa ndio cha msingi.Hapa bongo gospel siyo popular sana japo kuna few individuals wanaofanya vizuri, sababu Muslim ndio majority ya population tupo zaidi ya 60%
Kisu kimegonga mfupa.Hypocritical nation
Kenya bado sana. Tanzania tunafanya gospel katika viwango vya juu sana.Iko nyuma sana kimaendeleo.
Maudhui ya ushirikina nchini humo si jambo geni kwao
Support ipi unayoizungumzia?Ila bila sapoti kutoka kwa wakenya hamna mziki bongo
Fahamu kuwa ni nzuri.Nyimbo zenu zinapata airplay sana hapa Kenya
Otile Brown?? Tafuta chaguo LA moyo na baby love.Views Wang,si kwamb unajua kuimba.otile nyimb Zak nying,hajafiki 1M+ viewers ,lkn anajua.
Kina Bahati Bukuku.sema nyimb zet,za gospel tumekosa airbaz kubw EAC