Swahili kuhusu mtihani wa QT

ditto86

Member
Joined
Feb 3, 2013
Posts
28
Reaction score
3
Naomba kuuliza; Ni kwa mda gani unaweza kukaa bila ya kufanya mtihani wa FORM 4 kama ulifaulu QT..?
 
mkuu si zaidi ya miaka 3.
SWALI LA NYONGEZA?
 
Mkuu jisajili kufanya mtiani wa form4 hata usipofanya utakuwa na uhakika wa kurudia hata miaka mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…