Swahili language

Mwanjelwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2007
Posts
956
Reaction score
146
Swahili (Kiswahili) is a Bantu language spoken by various ethnic groups that inhabit several large stretches of the Indian Ocean coastline from southern Somalia to northern Mozambique, including the Comoros Islands. Although only 5-10 million people speak it as their native language,Swahili is also a lingua franca of much of East Africa and the Democratic Republic of the Congo, is a national or official language of four nations, and is the only language of African origin among the official working languages of the African Union.

Spoken in

Burundi
Congo DR
Kenya
Mozambique
Rwanda
Somalia
Tanzania
Uganda
Oman

What I know is that the language is spoken by close to 130,000,000 people. Wana lugha tuhabarisheni
 
Cha kusikitisha walimu wa kiswahili wa kutoka kenya ndio wanauzika sana kwenye vyuo vya juu vifundishavyo kiswahili nje ya bara letu.
Lakini kiswahili chao ni kibovu mpaka kimepitiliza.
 
Cha kusikitisha walimu wa kiswahili wa kutoka kenya ndio wanauzika sana kwenye vyuo vya juu vifundishavyo kiswahili nje ya bara letu.
Lakini kiswahili chao ni kibovu mpaka kimepitiliza.

nadhani tumeharibu sisi wenyewe kiswahili chetu. Tumekifanya kiwe cha kihuni sana siku hizi.
 
hii inatokana na taifa kuongozwa kihuni, hivyo kusababisha mazalia ya taifa kuwa ya kihuni!!

Inawezekana unavyosema. Kuna Raisi wa nchi hapo siku za nyuma alikuwa kianza hutuba anasalimia wanaanchi: Mamboooooooooooo!?
 
Inawezekana unavyosema. Kuna Raisi wa nchi hapo siku za nyuma alikuwa kianza hutuba anasalimia wanaanchi: Mamboooooooooooo!?

Hahahahaha! usinichekeshe sana mkuu nisije nikatema pombe yangu bure dakika za kuondoka bar hizi.
 
Hahahahaha! usinichekeshe sana mkuu nisije nikatema pombe yangu bure dakika za kuondoka bar hizi.

Ni kweli. Sasa unategemea Kiswahili nani atakaye kipa nguvu?!
 
Swahili?
Umeshatahabarisha au?
 
????????????????!!
Mwanjelwa,
Sasa unahitaji nibishane na wewe? Kwa msingi upi?
Kiswahili kigumu......Jinsi ulivyoanzisha hii thread unaonekana wewe umekubuhu kwenye lugha ya Kiswahili au una kianzo na hiyo habari?

Umetu-Habarisha ???? na kuendelea kutu habarisha kwa lugha ya kigeni halafu unadai waswahili wakuharabishe? Au?

Lengo lako ???????????????????????!!
 
Duh! Unaweza kiongelea kiswahili kwa lugha yoyote. Hapa siyo darasa la kiswahili kama lugha. Ila tunajadili mustakabali wa kiswahili. Lugha yoyote waweza tumia ili ueleweke vema. Karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…