Swahili makes history as first African language recognized by Twitter- Thanks Larry Madowo and Kenya at Large

ilipaswa uandie "kung'ang'ania" na sio kung'ang'ana.

jifunze kwanza kuandika kiswahili fasaha na mujarabu halafu urudi kujadiliana na mimi. [emoji23] [emoji23]
Wewe huna unachoweza kunifunza kwa lugha ya Kiswahili. Neno 'kung'ang'ana' liko sahihi sana kwa muktadha wa sentensi niliyoandika. Niliwaambia nyie Kiswahili hamkijui ni vile tu ndio lugha mnayoongea pekee hadi mnajiona magwiji.
 
Yaani leo nimefarijika sana kusikia mkenya akitetea kiswahili kwa nguvu kiasi hiki. Niliuliza mara nyingi sana hapa JF, kwamba kwanini GoK inaendesha shughuli zotea kitaifa kwa kiingereza wakati lugha ya taifa ni kiswahili?.

Sasa hivi wakenya, hasa vijana wameanza kuzinduka toka usingizini, hongereni sana, ule ushamba na ulimbukeni wa kuhusisha kujua kiingereza sana ni dalili ya kuelimika, au kuwa mtu wa daraja la juu, huku Tanzania tulisha jitambua na kuona kwamba fikra hizo ni utumwa na kujidhalilisha kwa sisi waafrika. Tunawakaribisha sana ndugu zetu wakenya tuungane pamoja katika kukienzi, kukiendeleza na kukitangaza kiswahili duniani kote, karibuni sana.
 
Mkenya aliekosa kusoma
Unaona hawa jamaa walivyo wabaguzi?, hii ndio sababu wanakidharau sana kiswahili, kwao kujua kiingereza ni dalili ya kuelimika na kuishi maisha ya juu, ila wakiona kiswahili kinazidi kuenea duniani kutokana na juhudi za Tanzania, nao wanajisogeza ili kupata sifa, hawa ni wazee wa kupenda sifa, na wasiojua nini wanlosimamia hapa duniani, wengi ni watumwa bado hawa.
 
Wewe huna unachoweza kunifunza kwa lugha ya Kiswahili. Neno 'kung'ang'ana' liko sahihi sana kwa muktadha wa sentensi niliyoandika. Niliwaambia nyie Kiswahili hamkijui ni vile tu ndio lugha mnayoongea pekee hadi mnajiona magwiji.
Maana ya neno kung'ang'ana ni kushika /kusukuma n.k

Wewe mkenya hicho kiswahili cha kwenye matatu hakina nafasi ,kiswahili cha Kenya sijui kilizaliwa wapi , kilugha si kilugha yaani hakieleweki

Ama namna gani?
 
Huwezi nifunza Kiswahili wewe boya. Kiswahili chote Kimezaliwa Kenya kule Shungwaya - usijipe presha.😀😀😀
 
This is quite great a News for us whose Kiswahili (I hate swahili thing) is lingua franca. However I think my few Kenyans friends are exaggerating this as purely Kenyan efforts. You completely ignore such efforts as Evarist Chahali who did quite outstanding job at tasking the twitters with strongest honorable words possible.

Yes it's great leap, but we should be careful to not to make fake heroes or forget other heroes we don't like.

See:

“Dear Jack Does twitter Discriminate Against #Swahili-Speaking People?” @Chahali
 
Maana ya neno kung'ang'ana ni kushika /kusukuma n.k

Wewe mkenya hicho kiswahili cha kwenye matatu hakina nafasi ,kiswahili cha Kenya sijui kilizaliwa wapi , kilugha si kilugha yaani hakieleweki

Ama namna gani?
asante kwa kusaidia kumuelimisha yule kilaza mkenya.
 
Huwezi nifunza Kiswahili wewe boya. Kiswahili chote Kimezaliwa Kenya kule Shungwaya - usijipe presha.😀😀😀
Wewe mchambawima kiswahili gani unachojua zaidi ya kuandika kilugha humu ,

Kiswahili ina nadharia nyingi Moja wapo ikiwa kiswahili ni kibantu , na makabila mengi ya Tanzania ndio yamechangia maneno mengi katika lugha ya kiswahili

Hivi kama kiswahili ni chenu mbona kwenye matatu ni kilugha , Nimefanya research Moja Kenya maeneo ya Limuru , watu wanaongea kilugha tu hata kiswahili hawajui
 
Sasa kama ni Lugha yenu, inakuaje kila Mkenya anaongea Kiswahili kibovu? Ingawa umejitahidi kuandika kwa Kiswahili but still unamakosa mengi. Lugha usiyo imudu sio ya kwako.

Hii Lugha ni ya Watanzania. Hapa nimeandika kistaah ila nikikuandikia kile Kiswahili kinachoongeleka Vijiweni huna utakalo ambulia.
 
Hii lugha wewe huimudu na ni dhahili kua sio lugha yako ya asili. Kiswahili ulichoandika kina makosa mengi sana.
 
Wewe huna unachoweza kunifunza kwa lugha ya Kiswahili. Neno 'kung'ang'ana' liko sahihi sana kwa muktadha wa sentensi niliyoandika. Niliwaambia nyie Kiswahili hamkijui ni vile tu ndio lugha mnayoongea pekee hadi mnajiona magwiji.

Kung'ang'ania SIO 'kung'ang'ana'
 
Congratulations to Kenyans and all other East Africans for standing up for Swahili. We need to stand together in for the matter which affect us all.
 
Wewe huna unachoweza kunifunza kwa lugha ya Kiswahili. Neno 'kung'ang'ana' liko sahihi sana kwa muktadha wa sentensi niliyoandika. Niliwaambia nyie Kiswahili hamkijui ni vile tu ndio lugha mnayoongea pekee hadi mnajiona magwiji.
hapa umeandika kiswahili fasaha?
 
Uwuru na Umojaaaa! Ebu nitoe hayo makose wewe mbumbumbu.

"Hatudhihaki Kiswahili, huwa tunachekelea wale Wabongo wanaojaribu kutype Kiingereza alafu wanabaki wamekiharibu ndio maana sisi huwaambia wabaki tu kwa Kiswahili sio kwamba tunakidhihaki bali tunawaeleza watumia lugha wanayoielewa ndio waeleweke. Hamna haja ya kung'ang'ana na lugha huelewi wakati unaweza eleweka kwa lugha nyengine."

Ulitakiwa uandike hivi: Hatukidhihaki Kiswahili, huwa tunawacheka wale Wabongo wanaojaribu kuandika kwa Kingereza na kufanya makosa mengi. Ndio maana sisi huwaambia waandike kwa Kiswahili, sio kwamba tunakidhihaki ila tunawaeleza watumie lugha wanayoimudu ili waeleweke.

Its my anticipation that the distinction is well noted and understood.
 
Nenda ukawe mwalimu wa Kiswahili pale Alayanzi high school Mbagala basi.😀😀😀😀
 
Hii ligi ya Wabongo na Wakenya huwa ya kijinga sana. Wakati mwingine mambo yanayohitaji kushirikiana nyie mnaona muendeleze ligi tu. Nyie watu vipi? Nani kawaroga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…