Swahili songs

Swahili songs

Makedha

Senior Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
167
Reaction score
53
Nimekuwa nikisikiliza nyimbo za kiswahili kwenye Youtube kwa muda mrefu sasa, lakini kusema ukweli, ingawa nimepata nyimbo zingi zilizo nzuri sana, nyimbo zote ambazo nimezisikia mpaka sasa kwa ujumla zinafanana sana, karibu zote ziko za aina ya Rnb, Taarab au Hip hop. Ningetaka kusikia muziki tofauti.
Je, nyimbo ya aina tofauti (Rock, Jazz, Techno, Soul, Neoclassical, n.k.) hazipo ? Ikiwa zipo, unaweza kuliweka jina lao hapo, tafadhali ?
 
Back
Top Bottom